Hivi anajisikiaje baada ya aliyemtaka kufika ofisini kwake siku kumi zilizo pita hakwenda,na jana kateuliwa kua katibu mkuu ofisi ya rais.
Mbona maagizo yake yote yanapuuzwa?,pamoja na mbwembwe nyingi alizo nazo?.swala la yule askari_mbwa ni mfano wa jinsi apuuzwavyo.
Hivi haoni haja ya kutuliza mizuka?
Ukiona Mtumishi wa serikali ameanza kuvuta Bangi ujue tayari ufalme wao umefitinika…tulia uone
inabidi ajitafakari japo anataka kumu.impress mkulu
Pengine anadhani kapewa kichwa ili kufugia nywele, maana si kwa kukurupuka kule, kila siku ni full maagizo na vitisho!..
sesere
6
bangi mbaya sana,hakika ufalme huu umefitinika siku zitaongea
Tuone vile vile kama ataendelea kumfuatilia mbwa boby anayelinda kwa Bashite
Kazi ya kichwa ni KUBEBA MIZIGO
nalog off