Going for lunch hapa City Park Market…mmmmmhhhhhh i hope i will get food kama the one below.
[ATTACH=full]10715[/ATTACH]
Going for lunch hapa City Park Market…mmmmmhhhhhh i hope i will get food kama the one below.
[ATTACH=full]10715[/ATTACH]
Hii yote ni ya kujenga utambi. Na walisema utambi tuachie stove.
Haha once in while sio mbaya.
Kwani mumelipwo? no wonder kuna kelele mingi hivi.
Hahaha watu wa end month huwa na mambo sana this time.
Mmmmmh I would kill to eat this right now
Hiyo dish iko balanced vizuri vane.
Lakini Ni kubwa zaidi
If i was in the house Mala Baridi kumalizia…
[ATTACH=full]10718[/ATTACH]
Labda ni paka mkubwa.
This has just turned me on …as in my taste buds :rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Really?! Pita na wanknanyama alafu unitumie mbisha ntakusort
Mala…turned on…:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
lemmie repeat my taste buds
You can always ‘eat’ mine;). Haiwes Isha.
Thanks for clarifying, nilikuwa nimeanza kuona a pack of them hyenas coming your way.
looks good bana, picha za mayekeyeke zilikua zinanitoa mate klost, huyo jamaa sijui alikua ananunua wapi lunch those meats and soups
You make mala in your house?