Lunch time Karibuni

Going for lunch hapa City Park Market…mmmmmhhhhhh i hope i will get food kama the one below.

[ATTACH=full]10715[/ATTACH]

Hii yote ni ya kujenga utambi. Na walisema utambi tuachie stove.

5 Likes

Haha once in while sio mbaya.

Kwani mumelipwo? no wonder kuna kelele mingi hivi.

3 Likes

Hahaha watu wa end month huwa na mambo sana this time.

1 Like

Mmmmmh I would kill to eat this right now

Hiyo dish iko balanced vizuri vane.

1 Like

Lakini Ni kubwa zaidi

1 Like

If i was in the house Mala Baridi kumalizia…
[ATTACH=full]10718[/ATTACH]

3 Likes

Labda ni paka mkubwa.

1 Like

This has just turned me on …as in my taste buds :rolleyes::rolleyes::rolleyes:

1 Like

Really?! Pita na wanknanyama alafu unitumie mbisha ntakusort

Mala…turned on…:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:

lemmie repeat my taste buds :wink:

You can always ‘eat’ mine;). Haiwes Isha.

1 Like

Thanks for clarifying, nilikuwa nimeanza kuona a pack of them hyenas coming your way.

1 Like

looks good bana, picha za mayekeyeke zilikua zinanitoa mate klost, huyo jamaa sijui alikua ananunua wapi lunch those meats and soups

@Purr_27 ,@Unicorn Mwanaume lazima akule fiti akuwe strong. ;):wink:

You make mala in your house?

@TopCat kimbia hapo ka Nyarugenya, umueneshe picha tujue kama kesho pia itajipa lunches