LUNCH YA 100 OR LESS

isidore

Senior Villager
#1
tangu kalasinga wangu atuambie kutoka Jana hakuna kazi mpaka Monday nilifurahi but sa hizi ndio naona kumbe Ile githeri tunakulanga hapo kwa mama Njoro ya 40 na avovado ni poa sana Na huku tao sasa haiko....
Saidieni Mimi mahali nitakula chakula ya less than 100 Hii tao... Na ikue chakula nitashiba vizuri nikiingia pale somer set jioni kunywa keg haitaniangusha!!!
Sandeni
 
uRukairu

Village Elder
#11
Enda Odeon kuna ka-duka ile stage ya kangemi nunua Kangumu za 30 (6) na soda ya 30. Soda ikiisha jazilia na maji. Bakisha fare ya 40 to whichever peasant-land you live. I guarantee you hautaskia njaa hadi usiku
 
Walker

Village Elder
#12
Enda Muthurwa ama Bus station ukaribishwe vizuri sana ati choma na ugali ni 100. Ukiletewa unapata ni pieces nne za nyama, cabbage imeboeka na ugali haijaiva vizuri
 
Mathaais

Village Chief
#13
Ukiingia bus station from mfangano street kwa hako kachochoro opposite Club Saltes utapata watu wengi wameketi nje ya tuvibanda wakikula. Itisha chenye kitafurahisha roho yako.
 
addCache

Village Elder
#15
tangu kalasinga wangu atuambie kutoka Jana hakuna kazi mpaka Monday nilifurahi but sa hizi ndio naona kumbe Ile githeri tunakulanga hapo kwa mama Njoro ya 40 na avovado ni poa sana Na huku tao sasa haiko....
Saidieni Mimi mahali nitakula chakula ya less than 100 Hii tao... Na ikue chakula nitashiba vizuri nikiingia pale somer set jioni kunywa keg haitaniangusha!!!
Sandeni
1. Bus station ya manissans
2. hapo iyo market iko hapo Mfangano street karibu BS ya Kenya Bus
 
Top