Lunch

Wadau mnakula nini for lunch,mahali niko kila kitu ni nyama nyama…Sitaki hiyo jina nyama karibu na mimi.

[ATTACH=full]249719[/ATTACH]

Juzi Kimakia Thinwa ilishikwa. Sijui kama uliona?

Sima na samaki na kachumbari.

siagisha unga namba 2.
badilisha mboga daily.

thats how men eat