M-shower

culture

Village Elder
#1
Leo morning nikitoka mtaani nimesikia maneno nikashangaa..si mnajua tu hizi ploti za huku kwetu vile zinakuwaga .visanga kila tym.sasa nilikuwa pale chini parking nikitegea wife.kidogo kidogo naskia kelele hapo 1st floor..nikashindwa what happening is this early?nikajipea tu shughuli .madam akakuja na tukatoka.nkamuuliza nini mbaya huko akanishow ati huyo mzae wa huko ametandika bibi kwa vile hakuna stima na bibi amekataa kumchemshia maji ya kuoga.fuuuuck it.yaani kuna wanamme uoga na maji moto.that was my question,worry.
to me since nizaliwe sijawahi oga na maji moto.ata nikiingia shower i cant.yaani mjamaa ananyorosha bibi hadi anapiga duru coz ya kutochemshiwa maji.???to you villagers ata nyinyi uoga maji moto>????????????
 

Top