M2Random Diaries

About 3 weeks after joining campus, I had a serious dry spell…na madame walikuwa wanalenga box yangu juu nilikuwa nakaa shagzmondoz…jersey ya arsenal, jeans zimefade na timberland mwitu za Simbaland…ilikuwa kama uniform. Helb haikuwa imekam through. Cool kids walikuwa wanafagilia madame kama wote…hiyo time njumu za “supra” ndizo zilikuwa kusema. Roomate alikuwa anaishia home weekend, so weekend nilikuwa keja solo all the time. So Sunday moja, nikiwa nimeboeka nikisurf kwa phone nikaona a new number calling. Nikachukua simu, akasema anaitwa Caro anakam kunitembelea K.U…hata ako clayworks akikam. That was very strange juu hakuna Caro nilikuwa najua, but I played along out of curiosity. Dame kufika K.U kwa gate nikamwendea…nikacall na mwenye alipick nikaona ako fine sana…lakini bado ni stranger. Nikamwendea, nikajiintroduce akasema amekosea sio mimi, juu kuna chali anaitwa Mato wa K.U na alikuwa anadhani anaongea na yeye. Lugha kiasi kiasi (she was older than me…old kama 4th year students), na aliniambia anachop KMTC ya Murang’a. Nikamwambia tuingie campo Mato akicall ataishia tu…tukiwa hostel na stories with this stranger akapigiwa simu…akasema “nakuja”…then akazima simu. 1+1 nikajijazia hadai story za Mato tena. Tulichapa story hadi 10 usiku akaniambia nimpeleke gate aishie Murang’a…kumbe msichana anajua hawezi pata gari za Murang’a hiyo time…so lazima alale hostel. She had deliberately delayed leaving akisema bado kuna time. When we got back hostel, time ya kudozz akaanza akasema tulale separate…nikadozz juu, na yeye chini…one hour later bado sijalala na chuma imesimama akaniambia “naskia baridi teremka”…that, folks, is how ufisi ya campus ilianza. Never bothered knowing who Mato was…though beshte yangu aliniambia nili-sausage fungwa…I dont care because I enjoyed.

12 Likes

[ATTACH=full]84463[/ATTACH]

1 Like

@M2Random nilidhani utatupatia stori za singo matha…

3 Likes

Enyewe campus ilikuwa na maneno. Kusema kama Theuri “ici ngaria ukuruini”

My guess was that Mato alikuwa fisi alitupia dame mistari akampea wrong number…or maybe the girl knew me all along ni kujifanya…sijawahi solve hiyo puzzle. I have a million stories from campo

Aiiii brother, ati ufisi?
Kwa room yako unapanda bed ya juu?
One hour coomer iko hapo chini na unajifanya umelala?
Unangoja akuambie anaskia baridi?
Maybe Mato alikuwa yuppie na huyo mrembo akaamua anataka kuchange diet, askie vile hao wengine huskia wakiingiwa na watu mashida shida/ ocha ocha hivi.
Finally, ufisi is not something one starts. Either you have it or you don’t.

5 Likes

Threshold haukufikisha?

Mi kuna time nilienda to another uni ufisi "meet the people sorry pussy tour ". Kurudi after a week I had apparently sat for a CAT and the grade awarded was such that the lecturer insisted on who exactly is this student.

:D:D:D:D:D
@jaymoh Ni organ gani inaitwa leaver na inaendaga wapi?

I was naive idiot…I had only fucked 3 girls…and all were my agemates…huyu alikuwa mzee kuniliko by kitu 4 years…an almost graduating nurse

Room yetu ilikuwa kichinjio brathe…na si tafadhali.

Haueleweki omwami?

nyayo 4 au mfumbiro?

Nyayo 4

1 Like

Ate nini?

@M2Random did you ever meet her again?

Yeah…she used to visit me every weekend for the rest of the semester…she was a FWB…coz I got a main chic later.

hiyo story ya mayai inaua “leaver” ni continuation??

1 Like

huyu talker anasema nn???

Anasema a CAT was fine in his absence and someone did it for him. :slight_smile:

1 Like