Ma dada wa TZ mk

Mkukubali mtongozo wa majirani muwe tayari kuitwa kunguru.

Wameshazoea majina kama, kicheche, jamvi la wageni, kiruka njia,helikopta na mengine mengi hilo la kunguru la kawaida

Acha hizo dada angu. Waache wenzio wawaburudishe wahitaji. Kutoa ni moyo.

mbona jina la kawaida ilo jmn…hata bongo tunaitwa majina ya ajabu sana

tunataka tuonje za huku zinautam gan

Hahah!! Eti kunguru

Uwe mfano wetu kwanza

Kunguru

Tatizo la wanaume wa Nyayo, they are not romantic. Na hawajui kurairai kama sisi

Karibu

Kila nikipita kwenye nyuzi zao nawaona ni watu wenye hasira sana!

Naona unataka watu wavunjwe vunjwe na wanawake wa kenya baada ya fumanizi.

Naona yale majina ya mwanzo yanaenda kufika mwisho

na mkikataa kuitwa kunguru mtafurushwa na kutupiwa virago nje

Mjiandae kuwa na michepuko ya wanyama…maana nasikia niwagegedaji wazuri wa wanyama…ha ha haaa

Kunguru

What are you trying to insinuate… wewe ndio kunguru kabisa tunasema huko. Mawazo yako yakiskia ugegedaji (what ever the f that means), wanyama wanakimbia kwa kichwa. You should be examined kama pia you have a secret willing for the animal D. Kunguru wewe… ([SIZE=1]:Dnlikuwa napitia tu)[/SIZE]

Mbona povu…utakuwa mgegedaji wewe…

Nipee… Utapata the niceness and sweetness hujawahi ona…

Kakamate kuku bana…naona zimepanda…