[MEDIA=facebook]282845535502872[/MEDIA]
Shiet, hiyo jamaa iko fit kabisa.
Weuh! Fiam! Leta training program
2 days before tuku tahiri pale kimilili
Watu wa vitambi mupite kimya kimya bila nyefnyef
Hao wawili juu ya Post yako
Uliona? Si utembeze kiatu basi kama thread hikufai? smh
wah! those guys who steal your girlfriend na unamuongezea gari yako na shamba aende nazo pia.
bidii mtu wangu!
Kuna wakati nilikuwa nasimama na mkono au kichwa, sijui hiyo talent ilienda wapi
Ako poa sana lakini Injury risk ni very high kwanza na hizo dumbbell exercises
Blame tumbo msee :D:D:D
He is truely fit, my upper body can lift my weight easily but not like that guy.
I haven’t been in a gym for over a year, I have gained some weight but hopefully will be back to your level, have purchased some gym equipment.
Unakuanga na upuzi msee
Katika harakati hiyo hiyo, nikitumia WHEY protein, italeta kitambi?
Uyu mtu ni shonde
bomoa closet kabisa.
Ako poa sana lakini mingi hapo ni entertainment tu . Working out is simple and efficient .