Maana halisi ya maisha

[SIZE=7]

Jifunze kupenda bila masharti ,kuongea bila Hisia mbaya , kutoa bila sababu , Na zaidi kujali watu bila kutegemea chochote kutoka kwao itakusaidia maisha kuyaona mepesi

[/SIZE]

We jamaa nimeshatia hofu juu Uwezo wako nadhani ndo wale ajira yako nikuisifia sisimu na kupata buku yako 7 watoto waende chooni. Naona kila uzi ni wewe tu, nyuzi za kumsifia Malaika. Kakufungia nyumbani bado unatafuta huku ugenini shame on u

Tatizo binadamu ni wabishi sana…

Cc: @Mahondaw

Sawaa