• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Mabeshte

Quanstrom

Village Elder
#1
Ushawahi kuwa na beshte yako but anaku-cock block bila kujua. Unasaka madame unawaleta kwa meza, wakicheki boiz wako akitafuna mogoka kama mbuzi wanachorea tu. Huyu msee sitakam na yeye tena kuuwa nyoka. Bad image. Slay queen wakiona mogoka kwa meza ni blunder major:eek::eek:
 

Top