Mabingwa wa Kiswahili kujeni hapa

Status
Not open for further replies.

xuma

Village Elder
#18
@le scumbag .Katika muktadha wako lazima tuwe na uhakiki ili tuweze kubainisha kinagaubaga hivyo vitu viwili tunavyo guzia.Mathalani,twaweza tohoa moja kwa moja kama 'Eropleni si ndege mnyama'. Ama 'Ndege wa kuabiri angani si ndege(nyuni).
 

xuma

Village Elder
#19
@Meria Mata ..Kwa vile jina 'Airforce 1' lina asili ya kijeshi, twaweza kulitafsiri tukifuatilia huo huo mwelekeo n kusema 'Mwana Anga wa kwanza au 'Mwana Anga 1'.Hii ni kwa sababu inambeba Amiri Jeshi Mkuu na pia vilevile mwanajeshi wa anga nambari moja.
 
Status
Not open for further replies.

Top