Obamas Plane is code
named ‘Airforce one’ kwa kiswahili
inaweza kuitwa aje?
Nguvu Angani Nambari Moja.
Ndege ya Obama.
Truth is that jina lenyewe litakua cumbersome kulitamka!
hheeheheheh, jaribu tu, lets see what you got
Airforcii moja!
FTA
Hewalazima Moja…and no my education wasn’t a waste of time
N while you all at it,can someone please tell me how to say this in Kiswahili “An aeroplane is not a bird”.
Asande.
PS. @Meria Mata sorry for “butting” into ya post. But mabingwa lazima waulizwe.
Nguvu Moja Hewani
Nice avatar. Naweza pata wapi kama hiyo?
Sio mabingwa, wanajulikana kama magwiji.
wewe ni Bingwa ama Gwiji?
Mimi ni gwiji, mabingwa wapatikana kwenye spoti.
@Mathice stupid. Jibu swali wacha kujidai bure hapa
Kikosi Hewa Mosi.
Happy now?
heheheheehehehe, umevuta au umekunywa nini saa hii?
have you read what you have written?
@le scumbag .Katika muktadha wako lazima tuwe na uhakiki ili tuweze kubainisha kinagaubaga hivyo vitu viwili tunavyo guzia.Mathalani,twaweza tohoa moja kwa moja kama ‘Eropleni si ndege mnyama’. Ama 'Ndege wa kuabiri angani si ndege(nyuni).
@Meria Mata …Kwa vile jina ‘Airforce 1’ lina asili ya kijeshi, twaweza kulitafsiri tukifuatilia huo huo mwelekeo n kusema 'Mwana Anga wa kwanza au ‘Mwana Anga 1’.Hii ni kwa sababu inambeba Amiri Jeshi Mkuu na pia vilevile mwanajeshi wa anga nambari moja.
shuran ndugu, asante sana na karibu kwa hii kijiji
@Mathice njoo ukutane na gwiji