Jamani ujirani mwema ni jambo Jema…najua mabinti wa Kikenya wanapita huku tuchikiane basi inbox tuyajenge…kule kwetu Tanzania ardhi ya kumwaga…you’re welcome.
Na mimi ngoja nikaribie nipate mbebezi wa pili kutoka ugenini
Mkuu huogopi? Wabongo Kwa wivu ngoja waje…
duuuu na mm ngoja nijaribu bahati yangu hapa.
Napambana nao hivyo mkuu
Ngoja niweke kambi niwasubiri
Jiandae kupambana na ngeli zao za kiswahili:D:D:D:D
Watatuelewa tu. Tutawa tichi
Wanazingua sana maana wanatoa matusi sana
:D:D:D:Demoji ya kicheko kama ensuka
:p:p:p:p:p:p:p:p:p
hah
hahaaaaaaa niliona tusi la mmoja kwenye ile thread uliyoanzisha
:p:p:p:p:p:p:p:p:p
Ngoja mie niwazoom
mademu wa kikenya njooni maana ma handsome wa Tanzania ndio tushawavamia hivyo…
Ngoja turu
turudi home
akiii jf yetu irudi huku naitwa villager mimi
Mimi nipo town mwaka wa kumi huu naitwa villager?
Nishapamiss nyumbani kwa kweli…
Tunarudi vipi jamaniii…
Ndio maana wamekuita new villager eeh,juu umetoka mjini sa hii