mabirkimo si huona siku mrefu, hadi ka one GB kanaonaga kanakuweza

#6
Wueh.. Don't laugh, kwa gated community ya mzae he had to black list nduthi riders tenants.. Kila siku wanapiga mabibi.. Wengine hata wanaleta madame kwa Ile nyumba iko na bibi na watoto... Kelele kila time... Weird tenants those ones.
The disciplined ones wako kwa Muthaiga (flats) ... But still wobbly

BTW hizo terms wao ndio hutumia kudescribe place wanakaa
 

Top