mabirkimo si huona siku mrefu, hadi ka one GB kanaonaga kanakuweza

[MEDIA=facebook]969836139853676[/MEDIA]

:D:D:D:D
:D:D:D
kuna mtu jincheng yake inaharibiwa na hajui

:smiley: Huko ni wapi wajinga wanaachiliwa wakipambana na hali yao

:D:D:D
Bana.
Bajaj is innocent in all this.

jamaa amefyekwa mwiko wenye ugali kauka akasikia kama ni number 40 emery imepitia kwa uso akagurukaa.

Wueh… Don’t laugh, kwa gated community ya mzae he had to black list nduthi riders tenants… Kila siku wanapiga mabibi… Wengine hata wanaleta madame kwa Ile nyumba iko na bibi na watoto… Kelele kila time… Weird tenants those ones.
The disciplined ones wako kwa Muthaiga (flats) … But still wobbly

BTW hizo terms wao ndio hutumia kudescribe place wanakaa

Hio plot no mzuri. Nspenda sana. Hakuna kuingilia mambo ya watu.

:D:D:D:D
Weuh…Io shuka kweni imefungiliwa na nini hainguki!

[ATTACH=full]249226[/ATTACH][ATTACH=full]249227[/ATTACH]

Hii leso ni tight kama Digi na umama.

hata haiwezi anguka watu wang’are eyes:p:D

And later that night they had amazing make up sex. Crazy women.
But this is an murder waiting to happen.

Nani ameona kijana akiwa combat ready with a sufuria helmet?
No one I bet. Everyone was waiting for the leso to fall off. Nigas hapa wako na kiu ya ajab

:smiley: washaina waliokolea sana kuleta cheap smartphones

Huyo boy amejipanga na helmet in case kiumane aendewe. Boychild ako mbele.

Shocking,

Mwanume mzima ana pigana na mama ? Hidiot

anapigana au alikuwa anajaribu kumtuliza mama akaanza vita ya mwiko

Mwanume lazima awe na hekima !