Mabudaa.. Wazito nimewaskia

Nimesoma ma-coments zenu kwa post yangu na nimepata mawaidha poa.
Ukweli umesemwa, mwanaume hafai kuongozwa ama kupotoshwa na mwanamke, ni muhimu pia wazito tukumbuke wasupa wako na agenda yao tofauti.Goal ya msupa kwa life inaweza kuwa kupata tu watoi, regardless kama ataishi kwa nyumba ya mabati.
Budaa mtu wangu labda goal yako ni kuendesha hummer ama range rover, ukifuata fikira za msupa umekosa njia.Yaani in short amekushukisha bei, kama msupa anataka mtoi na wewe hauko tayari, yafaa tu muachane roho safi…

Kusema ukweli msupa kama huyo hamuko level moja kiakili, huyo mtu atashukisha life yako.Mimi nimelelewa ghetto na naelewa vyenye nasema, hakuna mtu anafaa akushukishe, wazazi wako walikusomesha ili ukuwe msee mkubwa kwa society, msupa ndio anajua kuliko wazazi wako?

Chungeni mabudaa, kama mtu hana vision ya life yake… Asikufanye upoteze yako.

6 Likes

Mbleina

Hehehe…ati kuendesha Hummer… Labda ukiwa kwa choo tumbo ikiwa mbaya. Otherwise mtoi sio reason ya kuishi msoto;

Go for what you want, not what you are supposed to want.Kama haujiskii na watoto that’s your decision, let nobody force you.Nway that’s just my take.

1 Like

This is a term nilitumiaga high school years back!!! Acha utoto baba

2 Likes

Dismal

kama mtu hana vision ya life yake… Asikufanye upoteze yako.

Well put.

ebu ngoja hiyo sura kwa prof siku ona mtu amepewa mbegu ya chuma matching hiyo description??