madada na sisters ukifika 30+ hujaolewa acha kuwa too picky

Ukipokuwa A level uliwapenda handsome boys. Ulipo toka nao ulijikuta mko wawili au watatu kwa jamaa. You never had a stable relationship.
Ulipokuwa chuo dream zako ilikuwa kuolewa na mwanaume mwenye Masters, kazi nzuri, na stable life. Hivi unafikiri mpaka amepata vyote hivyo hakuwa anaona wasichana wengine? Labda iwe bahati yako awe ame break up na mtu mwingine.
Sasa umeajiriwa na umefikisha 30+. Una lipa rent kwenye apartment yako unajiita independent woman. Ukimpata anaekupenda mwangalie mara mbili. Au unasubiri umpate managing director? Mwisho utaishia old people home ukiwa miss Bantu.

Ni kweli. Wakubali tu kuanzia chini. “Tafuta na wako” usitegemee iliyo tayari

Wacha wachague…mwishowe watakuwa single mother

Haya Maisha Bana…

kuna muda ukifika bora useme liwalo na liwe

Nakuona nakuona,nafurahi kukuona tena Sky

Ujumbe maridhawa huu ,la sivyo watatumika sana tu

uhalisia unakuaga mgumu sana

kwa iyo niendelee kusubiria tu eeeh huo muda ufike

subiri tu si unaona shilole kajioa

Kazi kweli kweli

Hahahaha

Waambiee mama

ndio kumbe je?maana rika lako wanakua washawahiwa

mimi kuna mmoja hapa akifikisha 30 ndio akili itamkaa sawa…

Mambo yao waachie wenyewe…

Wakifika 30+ alafu bado kuolewa wanakuwaga na visirani sana na chuki…

Cc: @Mahondaw

Duuh.

Hahaha

Ha

Halafu awe tayari ana kid na MTU katoweka

Umri Wa stress huo.