MADAM JESICA

Nilitamani tym za lessons ziishe so that I could
fullfil
the promise that I had made to myself .Mwalimu
alikuwa akifundisha lakini nilikuwa sielewi na
siskii
what he was explaining.Mawazo yangu yote ilikua
kwa
madam Jesica.Siku hiyo nilijipea psych lazima
nimwambie tu
ukweli na ikibidi ata nilale kwake.
Madam Jesica alikuwaga bado yuko teaching
practise.That tym i was in form four na alikuaga
anatusaidia kwa Biology.Atlast mwalimu akatoka
na
baada ya kitu 30minutes nikatoka kuelekea kwa
nyumba ya madam Jesica.I knocked several times
before she could open …then … NYWEE… !!madam
jesica opened …she was astonished to see me and
anyone could easily tell.
“We mbona tym ya lesson unakuja huku? ”
akaniuliza
akishangaa.
That time alikua amevaa leso and you could
easily see
her body through the transparent leso smh!
kama hiyo haitoshi madam Jesica alikuwaga na
kitu
ingine .alikua amebarikiwa na kiuno nyembamba
na
ungeweza kutofautisha kiuno na haga.wueh!
“Mwalim nimekuja unifundishe kuhusu
Reproduction”
"Weh kijana ni lini sasa utaacha vituko,
nikufunzie
kwangu?!! akaniuliza,Lakini sikurudi
nyuma niliamua kama mbaya mbaya.!!
“Madam,… hivo unataka nifail ama…?.”
Nikamuuliza nikipretend nauchungu flani.Nikaona
uso
yake ikipunguza makali kiasi.
“…ni kitu gani huelewi ??” akaniuliza.
Madam mwenyewe hakua mkubwa sana, she was
approximately 25yrs old.
“Madam…seriously utanifunzia hapa kwa
doorstep? …”I
asked her wth a simple smile.Madam akatembea
na
kuingia ndani I ges she meant nimfwate!! …Nikiwa
nyuma yake
niliweza kujionea mambo! then i also realized she
was
wearing the leso only!!Alikuwaga amegawanyika
vizuri
for real .Ubaya na uzuri ya Nyumba ya Madam
Jesica
ilikua ni single room which was on the far end of
the
field, room yke haingeallow kuchenj nguo ndio
aanze
topic.On my head nikajiambia ‘ungejua tu
heee’ …then
akakaa kwa kitanda na akapoint mimi nikae kwa
kiti.
“Iwe mara ya kwanza na ya mwisho kuingia kwa
hii
nyumba. Shida zote tunamalizia shuleni sawa???”
alijaribu kunionyesha vile ameboeka na hio
story.Na
hapo tena nikarealize kumbe anakuaga na
mwanya!
Nilikuwaga wapi siku zote sikuona hio .
“Nimekuelewa mwalimu!” nilijibu na discipline.
“Haya ni wapi hukuelewa…’
“Madam sio ivo, hio siku sikua class kabisa
…”…nikamwambia.
“ndio unakuja kunisumbua mimi?? eeh? !!!” she
asked.
“Sio ivo …nimepatikana na mashida na hakuna
mtu
anaezanielewa!!! ……”
“Gani? Wanafunzi wanakuaga waongo sana they
can
say anything !!!” She told me.
“Rafiki yangu wa tangu utotoni aligongwa na gari…
Pia
Anty yngu alikua mgonjwa, yaani aghhh !!
Hii mwaka sio yngu nitaanguka KCSE.Maths
nimekosa
topik mbili, Chemistry sijaguza ,……” na
hapo nikanyamaza nikajifanya naangalia chini
nikiwa na
stress. Madam akasonga karibu then… she
grabbed me
.sikuamini!! kwa roho nikapiga somersault…
Akaniweka
kwa kifua yake then akaanza kunibembeleza !!
Akanikumbatia na mikono yote mbili.kidogo ivi
Nikamshika pia kwa kiuno…Hakutoa mkono
yngu,.nikaconfirm kama ataitoa bt she did not…
then
she smiled…"reproduction hahaha " she busted
wth
laughter! …then tukaangaliana nikajua hapa Gari
italala
parking.Coz she seemed to have understood wat i
meant.On my head nilikua nataka kumlalisha kwa
kitanda.Nikajaribu but akakua mzito …Then i said
to
myself Mwanaume ni Effort,Nikaboost nguvu
zangu
zote ndio nimuinue…nikamuinua nikaona ni
kama
anasonga then kidogo ivi nikataka tuanguke wote
kwa
hio kitanda nikiwa nimemshika …puuuufffff !!
kumbe ni
mimi nilikua nimeanguka na kiti kwa darasa!kila
mtu
alikua ananiangalia akinichekelea ,besteangu
mmoja
ndio akaniuliza “Yaani unaota mchana hadi
unaanguka
ukishikilia kiti ??nlijifanya tu nimefaint.

:D:D:D:D:D
Hii ujinga yote itabidi utafte mtu wakushare na yeye.

:D:D:D:D

:D:D:D:D:D

Kwani siku hizi hamuwekewi mafuta taa mnapopikiwa chakula shuleni?

:D:D:D:D:D jinga wewe pewa like

Hawa ni wale wanaingia KT wakifikiri ni dumping site ya ushens. Kumbaff.

:eek::eek::eek:…:D:D:D…hiyo twist at the end of the hekaya ni noma!
Shenj!

Zero chills

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D

:D:D:D:D:D:D:D
Pewa like juu ya hyo story. Hekaya swafi.

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Nice twist hahaa

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Ktalk CSI.
Mafisi minds part 2.

https://mcopiyoblog.wordpress.com/2017/02/11/mafisi-minds-prt2/

[ATTACH=full]158055[/ATTACH] [ATTACH=full]158056[/ATTACH]
Ni hayo tu.

hii tuliona 1927

Sitasoma hiyo yote

Yaani hii nthe imecopy paste? Ile effort imeadd ni hii pekee…

o_O

Peleka umeffi huko… Kisogoroo wewe…