Mara ooh mimba haitaki harufu ya kitunguu, mara ooh mimba yangu imechukia kuenda Nairobi…
Mbona hizi mimba hazikatai pesa za noti na mashilingi???
7 Likes
Hebu shika mimba uje utueleze vizuri
25 Likes
Vile huyu hapa amesema.
5 Likes
^^.vile umeambiwa hapo juu na uongeze kushika Fruu Cha Fruu Chaaaa
2 Likes
Vile sponsor amesema hapo juu ^^^
2 Likes
Yea, meffi yeye!
1 Like
vile jamaa Wa offer amesema ^^^^
4 Likes
Huyu anakaa kama ule mungiki bonoko wa dubai.
4 Likes
unataka kusema ngamia imekataa kula nappier grass juu iko na mimba??
4 Likes
ebu muambie sis
:D:D:D:D:D:D:D
Si huyo, kush kumwita hivyo ni matusi.
1 Like
kabisa. kush hawezi kuwa brainwashed mungiki. he is better than that
1 Like
.
Maybe wewe ni mmoja wa wale walikuwa wana report shule kesho ju ni Kama hauna huruma ,.
Most ni instincts za mtoi zina-overrule za mathe…and we all like money.
1 Like
vile wamesema …BTW nilikua nakaangia kitunguu kwa neighbour au naweka natoka Iive alafu nacome nimeweka kile na pika…
1 Like