Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.
[ATTACH=full]177933[/ATTACH]
Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua :-
-
Inaharibu kizazi
-
Inakufanya kua mvivu mara kwa mara
-
Unakuwa unakosa hamu ya tendo
-
Maumivu ukeni yasiyo na sababu
-
Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto
-
Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.
-
Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.
-
Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.
-
Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara
-
Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Tafakari Hayo …