Mimi hiyo kuzoeana sipendi, wacha waseme mimi mbaya. Unahurumia mtu unampa 50bob ya lunch, anaanza kukuletea mashida zake zote, ju ameona unaeza toboka. Mara mtoto wake amekuwa admitted, mara kijana wake anaenda college na watakuwa na harambee Sunday, mara kanisa inajengwa usaidie penye utaweza ndio mungu akubariki, mara sister yake anafanya harusi, mara bwanake alipigwa na wezi ikabidi afanyiwe surgery, sasa ni kuchangisha hospital bill....aaaaaargh!!
Kama sineed services za mtu mi humwambia roho safi, bila kucheka na yeye.