Mafao yameibiwa pole mzee eti wanakuambia haki yako ni asilimia 20% tu. Waulize kwanini leo kwanini miaka hii!?

[ATTACH=full]214378[/ATTACH]

Mkuu hili jambo ni serious. Nashangaa kabisa haki yangu ya michango yangu ya kila mwezi; sasa sipati hata nilichokuwa napata baada ya kustahafu.

Nchi tumekabidhi vichaa

Mambo yameachiwa…

Cc: @Mahondaw