Mafeelings Bed tyme stories with kihii kiaganu

Mbona madem wanapenda kucatch mafeelings after ushawakamua. Juzi nilikuwa ninja sasa ameshinda akiniambia sijui "Kihii you drive me crazy am so in love with you " “give me a chance to be your wife”, lakini kama kawaida we don’t love these hoes!! Threshold diet lazima kila siku[ATTACH=full]89877[/ATTACH]

7 Likes

This food is messing with your brain boss.

5 Likes

hii threshold utafikisha ni ya choo pekee

11 Likes

Stupid kihii brare chieth

Saitani hii lazima uweke machakula kwa post zako?

I like the consistency.

1 Like

you make my day keep them cuming…

Chakula yako haikosi yellow…turmeric ama nini umeeka mingi…kula kwa kibanda ndugu utaishi kupata mvi.

1 Like

Bana tafuta bibi chakula ya hoteli itamalisa wewe

sasa turmeric ya mama @mishty ulichota yoote atapika supper na nini?

4 Likes

Toa kijiko kwa sahani meffi.

1 Like

stewed pinaples, steamed nappier grass with ugali…chieth

1 Like

finally kihii nimekupea like! Mbona unakula ugali na kijiko though…acha kua lightskin

2 Likes

huyu mjinga anakulana vitu gani hizi ?

2 Likes

Ugali inaogelea kwa thufu…tafuta bibi kihii wewe.

greens unakula na ka ugali kadogo sanaa

sasa hiyo ni ugali ama ni rice ama ni nini?

inataikana hivyo unless unafanya kwa kware…

1 Like