Magufuli Chuki Unayoipandikiza Mioyoni mwa Watanzania Itakuja Kukutafuna....

Mfiaukweli

Senior Villager
#1
.....ukitaka kujua ukweli huu angalia aina na idadi ya watu watakaotoa rambirambi. Kama huwa unapitia huku fikiria kwa makini ujumbe huu. Ikitokea ukafikwa na jambo baya (na siombei ukutwe) watakaoshangilia wataluwa ni wengi kuliko watakaosikitika.
Kwenye kitabu "Cry Beloved Country" cha Alan Paton kuna quote hii:
"I pray so that when the white men hearts will be filled with love, our own (i.e.blacks) won't be filled with hatred against them".
Magufuli; unayoyafanya leo yatasababisha ccm waumie kwa kuwa tu wao ni ccm.

Usije kusema hukuambiwa
 
#3
Hawezi jifunza huyu zwazwa tu! Kura za urais kaiba, udiwani anaendelea kuiba, ubunge usiseme tena!. Huko ukerewe alikataa kufuatilia mambo ya kivuko kwa sababu ya upinzani unaoongoza huko. Mbunge wa Ukerewe si siku nyingi alipiga kelele kwa uchungu bungeni kuhusu MV Nyerere akisema " mnaongojea kuleta rambirambi"!! Na kweli ndizo anazopeleka na dikteta mchafu anabwata usitumie msiba kisiasa!
Niliona waziwazi kwenye mazishi ya watu 9 majambazi ya ccm yakitanguliza mitumbo mbele eti ipendwe mafi kunuka!!
Leo hii tukivamiwa tutapigwa kama mbwa hata burundi watatupiga! Umoja na mshikamano dikteta wa kihutu kauondoa!
 
Top