• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Magufuli land devolving to the dark ages

#42
Hahahahaha!!! Yaani maandamano yapangwe Tanzania halafu wanaopiga kelele ya maandamano ni wakenya. Tayari tumeshaanza kukata connection za maandamano. Kaka yake na msichana anayepiga umbea wa maandamano kwenye mitandao tayari ameungana na serikali.

Intelijesia ya Tanzania ni kubwa sana.
T255,

Ungefanya hivi,usiwe bias kisiasa katika hoja zako kwenye KT....wewe jitahidi kuitangaza TZ yako ila sio unatumia hii platform kusukuma hoja za CCM....

It is useless!

Sisi waKE ni wapinzani by nature...unapoleta mambo ya CCM humu unapoteza muda tu...KEs dont give a shit about stupid CCM..we are rables by nature,maandamano na upinzani is our thing..

Bring good Bongo things here,not shitty CCM
 
T255

Village Elder
#46

Jiwe nimelitupa gizani. Ukisikia mwaaa ujue limempata. Tayari umegongwa na jiwe. Mambo ya CCM yametoka wapi hapa!!?
Tanzania is very strong country my friend. Tunaulizi tangu kuanzia kwenye chumba chako unachokaa. Huwezi kufurukuta ukiwa ndani ya TZ. Kitu unachoweza ni kupiga makelele kwenye mitandao. Na tayari tumeshaanza kuwaonesha wapuuzi namna tunavyo deal na wapuuzi.
Pitia na mambo mengine ujue:
Kwa mfano anza na hapa:

T255

Village Elder
#47

Unatakiwa ujue vitu vinavyofanyiwa kazi. Sisi Tanzania huwa hatutatui vitu kwa kelele.
Soma hapa uone mambo yanavyoenda.

#48
Jiwe nimelitupa gizani. Ukisikia mwaaa ujue limempata. Tayari umegongwa na jiwe. Mambo ya CCM yametoka wapi hapa!!?
Tanzania is very strong country my friend. Tunaulizi tangu kuanzia kwenye chumba chako unachokaa. Huwezi kufurukuta ukiwa ndani ya TZ. Kitu unachoweza ni kupiga makelele kwenye mitandao. Na tayari tumeshaanza kuwaonesha wapuuzi namna tunavyo deal na wapuuzi.
Pitia na mambo mengine ujue:
Kwa mfano anza na hapa:

CCM tupu...
 
T255

Village Elder
#50
Mkuu,tetea waTZ wenzio,sio unatetea serikali ya CCM...you piece of shitty bongoman!
Hahahaha niwatetee waTZ kwani kuna matatizo gani? Je, unanichagulia cha kufanya? Serikali ni watanzania siyo ya wakenya. Stupid boy. We have tight security my friend. Ndiyo maana Tanzania is among of Peaceful Countries in the world.

1523783223151.png

Badala ya kujenga nchi yenu mna kimbilia mambo ya kipumbavu. Kama kuna kitu hakijakufurahisha zipo njia za kufuata.
 
#51

View attachment 166376

Badala ya kujenga nchi yenu mna kimbilia mambo ya kipumbavu. Kama kuna kitu hakijakufurahisha zipo njia za kufuata.
Sijakuelewa wewe ndugu.....serikali ni ya CCM,sio ya watanzania wote...

Nchi ni ya WaTZ wote,ila serikali ni ya CCM na sio ya waTZ wote!Use your brain dummy!

Na nchi kua peaceful ni wananchi na sio ulinzi/security ya shitty polisi wenu or CCM govt...!

Sifa zinaenda kwa wananchi wote waTZ kwa tabia zao za amani na wala sio serikali stupid ya CCM...plz dont take TZ people for a ride you dummy!
 
T255

Village Elder
#52

Hahahaha!! Unaumia sana kuona Nchi tukufu ya Tanzania ilivyo.

Serikali inachaguliwa na wanachi dogo. Kwanini nyie wakenya msiwe na wananchi wanaoleta amani?
Simply Serikali yenu imekaa kikabira na kwamanufaa ya wachache.
Tanzania ni nchi ya Kijamaa. Security ipo kila kona rafiki.
Walete wakenya wenzio mjaribu kuandamana tutawakamua matakosa pa kutokea.
Kila mtanzania ni mlinzi wa nchi yake.
Nimekuonesha mfano tu. Kaka yake mwanamke aliye marekani anahamasisha maandamano kamgeuka na sasa analia lia tu.

#53

Hujui kupangilia paragraph za Kiswahili...

Halafu kikabira=kikabila,jifunze Kiswahili sanifu wewe hopeless!

Kiswahili gani wewe mTZ unaongea?Bure kabisa!

Naipenda TZ kama nchi na watu wake,siipendi serikali yenu ya kijinga ya CCM!

Post yako imejaa miCCM Makonda na Lemutuz,sijaona unaweka waTZ wengine wenye maana TZ kama Lissu,Karume,etc.Unaweka manyang'au ya CCM jitu kama Makonda!

Sema hivi wewe ni CCM populariser na sio TZ popularizer!
 
T255

Village Elder
#54

Hahahahaha!! Sasa unanichagulia cha kufanya siyo? Mimi ninakupatia facts. Wewe unaleta nyimbo na mapambio.
Huna uwezo wa kufanya chochote wewe. Pambaneni na hali yenu huko kenya. Sisi tunafanya yetu.

Ona unavyojiaibisha Mimi siongelei hata siasa zenu na wala sitaki kujua vyama vya siasa vyenu.
Sisi tumewekeza kwenye ulinzi wa nchi yetu. Tatizo vijana wa Kenya uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana. Unaongelea Karume unamjua Karume wewe? Karume ni mkombozi wetu tunamuheshimu sana.

Halafu Tundu lisu is just Mbunge wa Singida East(Sehemu ndogo mno katika URT).
Hana cheo kingine Tanzania. I told you huijui Tanzania wewe.

Sisi tunajishughulisha na kukuza Tanzania.
Check hapa yanayoendelea TZ.
Kwenye music industry tumepenya Africa. Sasa hivi Bongo Movie inaanza kupenya. Nyie endeleeni na unafiki wenu sisi tunasonga mbele.
WASHINDI wa MOVIE INDUSTRY AFRICA WAMETOKA TANZANIA.

#55

Douche....

Im wasting my time...Im around smart Tanzanians here,they are way ahead of you million miles...
 
Y

Yunomi

Guest
#60
You know what they did to tundu lissu?

They shot him then dug out the bullets. Only 1 remained which the surgeons could not remove as it was life threatening
Yes. They were not trying to threaten him. They were trying to assassinate him. TMH was on his side.
Tyranny will not win.
 
Top