Magufuli; unaifahamu tofauti pekee uliyonayo kulinganisha na Makaburu?

Kama hujui basi ni hii:
You are hopelessly incompetent in managing the economy (kitu ambacho Makaburu wali-excel). Ila ukatili kwa wapinzani hamna tofauti hata kidogo.

Nashindwa kuelewa unapopata ujasiri wa kumsifia Mandela au ANC. Well; probably hujui unalosema. Ulituambia nani alikuwa Rais wa Kuwait vile?

Atajua wapi mambo hana exposure

Huyu kijana angetumbuliwa na/au kufungwa jela kabisa kwenye utawala huu

https://www.bbc.com/news/world-us-canada-44854370

Hili jiwe ni zaidi ya mshamba

Mupe mupe mupe!

Muongeze megafool
Nalog off

Amri kii, kibebena, nakumbuka msemo huu jeshini

Huyo dikteta mwenye chuki za kutisha, roho mbaya ya kutisha na ukatili pia wa kutisha hana tofauti yoyote na makaburu wa Afrika Kusini ukiondoa ngozi yake, ni mtu hatari sana na janga kubwa sana kwa Taifa letu.

Ni aibu tupu.

ukabulu mamboleo

A tyrant.

Inasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Sisi waswaka ng’ombe hatuna interest na International affairs