Maize market in kenya

sani

Village Sponsor
#8
5 million kilogrammes sio mahindi mingi. io haiwezi kuliwa kenya more than 3 days. talk to Capwell industries kama bei iko mzuri kuliko enye wanapewa na Ukrain.

Lakini ujue "if you have to ask about it... you're not qualified to do it" either umesikia boss wako akipiga story ama umesoma vitu kwa internet.

Hakuna mkenya ako na 5million kg ya mahindi na hana soko.

Unahitaji 77 40ft containers kudeliver io mahindi. Lorry nane kila moja ifanye trips 10. Uko na pesa ya mafuta?
 
Last edited:
#11

Ungemuuliza kama amemaliza mogoka...
 
Elungata

Village Elder
#12
Are you serious? 5 million kilogrammes, almost 60 000 bags?

Lori iko,
 
Top