Haya ndiyo makundi ya hovyo ambayo yana habari nini kinaendelea Tanzania lakini yametawaliwa na unafiki, mawakala wa shetani
- Maaskofu (baadhi)
- Mashekh (baadhi)
- Maprofesa.(baadhi)
- CCM
Haya ndiyo makundi ya hovyo ambayo yana habari nini kinaendelea Tanzania lakini yametawaliwa na unafiki, mawakala wa shetani
Wanaogopa kutekwa na kufanyiwa usodoma ili wakitoka huko wasiseme nini kimejiri
Duuuu.Haaaahaaaa
Hakikaaaa
Wamefungwa midomo
Wastaafu usiwasahau Mkuu hata walipokutukanwa hawakutia neno
[QUOTE=“kyekomakubi, post: 1910760,
member: 37301”]
Haya ndiyo makundi ya hovyo ambayo yana habari nini kinaendelea Tanzania lakini yametawaliwa na unafiki, mawakala wa shetani
State of terror and horror
[FONT=courier new]Sina uhakika wa hiki kwa 100% japo kwa 25% naweza Kukubaliana nawe.[/FONT]
Kama hauko objective huwezi kuona! Dini ni kukemea maovu, they are not doing that! au hakuna amovu yanayofanywa na serikali kwa kiwango cha juu!