malaria + typhoid

“Patiwa Al tablets,na ciprofloxacin tabs plus painkiller” no change after finishing the madawa

Go back to the doctor who prescribed them. Hakuna usaidizi utapata online

Usaidizi atapata hapa ni kuimbiwa “Luwere…”

Kuna wakati nikiwa home had typhoid. Kuenda hosi nikatumwa lab for that malaria-typhoid test combo juu nyanza ni malaria zone so typhoid test are accompanied by malaria test. Kufika lab nikapata madem wawili warembo kuruka. Started flirting with them wakichukua damu kwa mkono. Nikasema baas hapa natoka na number. When done withdrawing blood nikapewa container eti niende nilete meffi. Those were the longest minutes of. My life. Flirting iliisha kabisa. Nikawauliza kwani hiyo damu ni ya? Wakasema malaria, na typhoid? Wakasema ndio ya meffi sasa. Told them wagawe damu moja iwe ya typhoid. Wakajam eti typhoid testing kits za damu zimeisha zimebaki tu za meffi. Mimi niliwaambia sileti meffi, madem wakaanza kucheka ati shida yako.
Nilienda nje na kukaa for like 20 mins nikisema hapa mimi nahepa siwezi patia dem meffi yangu. Texted my siz akasema she deals with corpses so meffi si kitu kwake niache ujinga nipeleke. Nilikunja mkia na kuwapelekea saa hizo hata eye contact naavoid. Wao walikuwa wanacheka tu. Kurudia results wakasema hiyo ya meffi ndio iko positive ya damu hakuna malaria. Since then siwezi katiana hosi tena. Everytime mtu akitaja typhoid nakumbuka tu hiyo siku

enda hosi utapata usaidizi ya maana that is if you went to these funny chemists zenye zinakuanga na lab

Huyu alienda hizo tu clinics that are of interest to the Kenya medical and dentists board ndio wana hiyo tabia ya kuambia mtu una malaria na typhoid halafu wanakupatia generic antibiotic ya soo mbili. Mbona hakupewa AL Kama alikuwa na malaria pia?

most quacks’ favorite combo diagnoh

kuna msee alianza hivo. hakumaliza five days. Alijikunia akakufa

Hii ni true story btw:p

sielewi