Charity Ngilu ni mtoto wa Pastor wa Anglican Church huko Mbooni, yet yeye alifutwa na Uhuru kwa ministry ya lands sababu ya corruption. Alikaa kwa ministry ya water na health miaka mingi, lakini Nzamba Kitonga alikufia kitui sababu ya kukosa hospitali.