Mama Clichy, ebu piga zile viatu zangu sunday best rangi, nimealikwa party na mdosi wangu Patel.

Panyaste★

Village Sponsor
#1
My husband uko sure umealikwa party ama u are going for those Gilbeys drinking sprees pale Kayole.

LICHOTI: wewe mama Nimesema upige viatu zangu rangi. Mhindi ametualika kwa party ya kampuni. Usiulize maswali

Sawa my husband
rps20190712_210344.jpg

Later on at a dingy Kayole pub
D3YK0zuWAAA7XFN.jpeg.jpg
LICHOTI: wasee wasee mna jua niaje? Leo nime enjoy mwife ati naenda bash ya mdosi hahahaha hahahaha

JONTEZ: oya Lichoti, unajua una pesa zangu haujanilipa. I want my 2K sai sai na sicheki.

LICHOTI: manze sina Kakitu mtu wangu

JONTEZ: ebu Kamu kiasi kwa hii backroom tubonge

LICHOTi : swafi

JONTEZ: will u take it the easy way or the hard way?

5mins later Lichoti is seen running out of the back room and out of the pub while holding his already falling trouser.
rps20190712_211658.jpg
JONTEZ: very lucky quadrijoint mlevi...run away kabisa.

Back home.

MAMA CLICHY: Haiya my husband kwani bash has been cancelled, why home this early.

LICHOTI: please pack my bags nimeenda ushago kimilili. Nairobi imenishida.

The next day in Kimilili
rps20190708_210335.jpg
 
Motokubwa

Village Elder
#3
My husband uko sure umealikwa party ama u are going for those Gilbeys drinking sprees pale Kayole.

LICHOTI: wewe mama Nimesema upige viatu zangu rangi. Mhindi ametualika kwa party ya kampuni. Usiulize maswali

Sawa my husband
View attachment 248031

Later on at a dingy Kayole pub
View attachment 248032
LICHOTI: wasee wasee mna jua niaje? Leo nime enjoy mwife ati naenda bash ya mdosi hahahaha hahahaha

JONTEZ: oya Lichoti, unajua una pesa zangu haujanilipa. I want my 2K sai sai na sicheki.

LICHOTI: manze sina Kakitu mtu wangu

JONTEZ: ebu Kamu kiasi kwa hii backroom tubonge

LICHOTi : swafi

JONTEZ: will u take it the easy way or the hard way?

5mins later Lichoti is seen running out of the back room and out of the pub while holding his already falling trouser.
View attachment 248034
JONTEZ: very lucky quadrijoint mlevi...run away kabisa.

Back home.

MAMA CLICHY: Haiya my husband kwani bash has been cancelled, why home this early.

LICHOTI: please pack my bags nimeenda ushago kimilili. Nairobi imenishida.

The next day in Kimilili
View attachment 248035
little fella utaheshimu shemeji na si tafadhali
 
Top