Katika ulimwengu wa Marvel, T’Challa ni kiongozi wa “Wakanda” Taifa lililojificha lakini linapatikana kaskazini mashariki mwa Africa.
Wakanda iko mbele sana katika sayansi na teknolojia kuliko taifa lolote duniani lakini wanaogopa kusambaza teknolojia zao hasa madini ya Vibranium na dunia nzima.