Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Lamborghini

https://1.bp.blogspot.com/-U83h5y8R3SQ/Wl-bG-DP1xI/AAAAAAAAFhM/bgRw7a3N5KA58f0zI8wXzpJel86HT2pLgCLcBGAs/s1600/Webp.net-resizeimage%2B%252814%2529.jpg

#1: Lamborghini ilikuwa ni Kampuni ya Matrekta tuu!

Ferruccio alikuwa ni Mechanic mwenye ujuzi sana na mwanzoni alikuwa anafanya kazi katika jeshi la Italia kipindi cha Vita ya pili ya Dunia. Baada ya vita kuisha Ferruccio alirudi nyumbani na kuanza kuunda matrekta ya kilimo.Baada ya kuzozana na Enzo Ferrari, Ferruccio akaingia kwenye ulimwengu wa magari miaka ya 60s

TAZAMA VIDEO

https://www.youtube.com/watch?v=PD6BnbAqc9g

Reading all this bongo swahili made me get a headache! Agrrr

hehe

Sijasoma mnipe translesheni prisso_O

Niggah so stupid he can’t count 1 through 10…There is only one point in your post Mofo!!!

thank you sir