Mambo ya Gitati apana!

KamauLM

Village Elder
#1
Chama zingine huwa na deal poa sana ukijoin. Unaingia hio chama na high hopes kisha unajua haujui. Saving requirements ni kidogo kitu mia tano au tenga kwa mwezi. Unakaa miezi sita wanakwambia wakati imefika upokee kamkopo kaa 30K. Hio mwezi ata unaeka 3k kwa savings. Chair anakupigia simu mpatane. Hapo ni kufanyia ile 30K hesabu 15k kununua bidhaa pale alibaba at wholesale price hizo zingine za kujiponda. Unafika unapata Chair na Treasurer unajua leo ni leo. So, wanatoa sijui article of association. Ukifiria wanakupea terms za loan lakini wapi. Chair anasoma "A member who skips five consecutive group meetings without a written apology, henceforth, shall be suspended for two years." Hapo ndio unajua "akufukuzae hakwambii toka".
 
Top