Hatariii
gashwin Village Chief Oct 20, 2017 #2 Oct 20, 2017 #2 uswazi ni nini in this context juu nimeona wa-bongo? Last edited: Oct 20, 2017
MizChief Village Elder Oct 27, 2017 #5 Oct 27, 2017 #5 gashwin said: uswazi ni nini in this context juu nimeona wa-bongo? Click to expand... Uswazi ni kama slums ama life ya slums, short form ya Uswahilini na vituko zenye hufanyika huko.
gashwin said: uswazi ni nini in this context juu nimeona wa-bongo? Click to expand... Uswazi ni kama slums ama life ya slums, short form ya Uswahilini na vituko zenye hufanyika huko.
kah tony Village Sponsor Oct 27, 2017 #6 Oct 27, 2017 #6 uswahilini kuna maneno.... kariokoo na mwananyamala duh!