• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Man United vs Liverpool FA 4th Round

mishale

Village Elder
#6
After city kutu tesa carabao kusema ukweli confidence yangu ime dip
ball ukua hivyo.
mnakuanga on high spirits, mnacheza poa, then boom, mnapatwa game moja munakimbishwa vibaya.

wacha tuone leo vile kutaenda. tukidraw ama kuchapwa, Liverpool watatuwahi pia natujue ata top 4 itakua bahati.
but saa zingine ni poa mchapwe ndio mtulize ego
 

Top