Man Utd wameitiwa kumi bora.

Hapa ni ma collabresheni tu nashuhudia.

:D:D:D:D

@Mathaais
@Shabba Ranks
and many more
:D:D:D:D

[ATTACH=full]63918[/ATTACH]

3-0 am done:D:D:D

4-0
Tears of joy

Walitucheka Jana Ati draw… Who’s laughing now? [ATTACH=full]63923[/ATTACH]

5-0 wails of joy in heaven

:D:D:D:D:D:D:D nangoja king of memes na gifs @vuja de alete za hii game

I am this red.
[ATTACH=full]63927[/ATTACH]
Hii ingine ni nyinyi huniwekelea.

Wanasoma comments tu[ATTACH=full]63928[/ATTACH]

[ATTACH=full]63929[/ATTACH]

Wale mafans wa Man U wako piwa sasa?

Mourinho anatafuta receipt ya Pogba!

[ATTACH=full]63931[/ATTACH]

:D:D:D:D ameanza zile za Wenger , kweli ball ni stresss

Vile akina @wildfrank wame-vamoose toka KTalk… Watu wameendea handles zao zingine zenye zinasupport team za volleyball!

[ATTACH=full]63932[/ATTACH]

Hurumia hawa watu banaaa :D:D:D

kuna ule kwanza anaandikanga 100 pages za analysis from P&L yao mpaka tshirt sales ni kama ni professor wa Man United @spear

ndio huyu…

[ATTACH=full]63939[/ATTACH]

Be kind… (I hope I have said that with a straight face)

Wooooiiii…