[ATTACH=full]175411[/ATTACH][ATTACH=full]175412[/ATTACH][ATTACH=full]175413[/ATTACH][ATTACH=full]175414[/ATTACH][ATTACH=full]175415[/ATTACH][ATTACH=full]175416[/ATTACH][ATTACH=full]175417[/ATTACH][ATTACH=full]175418[/ATTACH]
Very nice. I’ll definitely visit Bongo one day.
Twende kazi
Hii uzi ina husu nini?
Asiye jua maana haambiwi maana
anzisha uzi wa sgr tz ushushe mipicha, tutamtag mzee @mk254 aka mzee @lawmaina78 atoe povuuuu la omo!!
Sio hii uzi wewe, ni huu uzi
msukule wa ccm
Karibu bro. Sote marafiki
naona yale mambo ya battle mnataka kuyaleta hadi huku.
Unanikumbusha mambo ya “ONLY BRT” Wakenya bhana
Hahaha lazima tukinukishe jasiri haachi asili
Ngoja kikosi chetu kitimie
Sawa mwalimu.Lakini ukishinda ukikosoa watu hapa utachoka.Hatutumii kiswahili sanifu hapa.Bora mtu ameelewa kenye mwingine amesema.Sio mtihani tunasomea.
you are welcome Boss. One EAC one people.
Mmoja mmojaaaaaaaaaaaaaaaa
Huu mradi umeshakufa…msiupambe sana…
Na ndio maana makondakta wake juzi walitoa offer ya kusafirisha bure abiria. kama mbwai mbwai
Mleta mada anaweka mapicha picha anadhani mapicha ndo ubora wa huduma.
Iko vizuri sana…
kabisa mapicha siyo ubora wa huduma watu walipiga pesa ndefu kwenye ujunzi wa huo mradi bure kabisa aise.