Many Kenyans wana hii tabia

Picture first story will follow
[ATTACH=full]51867[/ATTACH]
Many Kenyans wana hii tabia. I will tell u a story of a Kikuyu friend of mine here in Germany. Let’s call him Njoroge. Njoro are those business minded pple. He comes from Nakuru. Njoro had planned to start biashara ya dairy farming in Kenya. Around January akashuka home +254 to access things like land and vile ata operate his biz. Mseh alikuwa ame save enuff and seemed alikuwa amefanya research ya kutosha… He had told me ati nipatie one year pekee kwa hio biz ya dairy farming na ntakuwa birrionaire.

Kidogo kidogo jamaa goes Kenya and meets an old school mate… School mate wale walikuwa wanakuwa number last Ama second last kwa exams. Dude alikuwa ameomoka…Njoro asked him Mseh foam ni gani? Jamaa said he makes trips to and from China to buy goods and sells them in Kenya.

Njoros plans for dairy farming zikalost…kidogo kidogo he is whatsapping me ati boy Kenya Maboyz wameomoka…Wasee wanaenda China wananunua vitu wanakinda Kenya…hata sai nime book flight ya China…I ask him na kwani biashara ya dairy farming umeitoka…he was like f***k dairy farming China is the in thing now.

FFWD jamaa invested heavily and went China… Long story short ilichapa ukuta…jamaa saizi Ako Ujeru hata alirudi hakushow mtu…nlimeet na yeye kiusniper and jamaa hata hataki story mob ya hio failure

It had to be Njoro

at least alijaribu na wewe uko hapa tu…

haha

Wakenya wengi wana hio tabia…kumbuka quail bizness

Buda haujui investments nimefanya… Usinione hapa nikiitana ma meffi uni under estimate

Wenzako wanatake risks na kugain experience wewe kazi yako ni kutomba wanyanye

mbuyu, sheng umeiva mbaya. ujeru kuna corner flani kunakuanga na sheng hardcore ivi?

@introvert kazi kwako!

Njoro had planned to start biashara ya dairy farming in Kenya. Around January akashuka home +254 to access things like land and vile ata operate his biz.

Foolish. In india we do good business.

I think lack of creativity and herd mentality are the main problems with us as Kenyans.
Unakumbuka story ya quails ama ile IPO ya saf venye kila mkenya alikimbilia, ama those famous pyramid schemes?

We tend to judge using what we see… @Jirani

Are you still doing business with the old woman??!!

Yes ! Hapo kihingo

You have to take risks to be successful, hopefully njoro learnt from his mistakes and he will use that experience in future to be successful

The in thing saa hizi ni kununua buloti eti after 5 years bei itakuwa imepanda. Wacha waende na herd mentality yao. Mimi nangojea 5 years kunua from them cheaply

Guys are not getting my point. Why shud one copy another persons idea jus bcoz alikuwa successful with it. Do your thing man. Njoro angefanya dairy farming may be angekuwa birrionaire

Or you tell someone an idea you have kisha anakutangulia and implements your idea.
I think that dairy thing ingekuwa successful , the guy just wasn’t patient enough. Seems like he wanted quick success ,akaona giza eventually.

MEFFI…youre right… MONEY AINT EVERYTHING

You better watch how you talk when you talk about me NV.