Manzi mathongo meaning.

Niaje Mazee,

Hivi Mathongo maana yake ni nini? Nimesikia Major akilisema ilo neno kwenye wimbo wa femi one Okonko una kitambi ukimupea utawezana? Manzi hardcore , Manzi Mathongo.