Maoni yako...

Designers wakosoe
[ATTACH=full]7157[/ATTACH]

1 Like

Iko juu kama ni ya digital media. Kuprint itakuwa ngumu.

Iko poa lakini shida ni unatumia Microsoft Paint.

Sasa umesema nini wewe? In what way have you assisted him? Itakuwa aje poa kama shida ni kutumia paint?

1 Like

hehe maoni ni valid

si mbaya…

Sijui umefanya vipi, but its legit

I like!

Its a good design…but very hard to replicate without losing some quality on the graphics.
Plus if you were to replicate it and remove the glitter, there is really nothing that stands out except for the two ribbons/curves

If for print, that black background will use too much ink/toner. Care for a transparent background?

iko sawa

Nice. Keep at it.

Uko down sio siri

I like.
I’d give it a 9.3/10
Hiyo .7 imeenda juu ya kumake copy ya the text larger (if you get what I’m saying? Sijui hizo terminologies).

Very nice, bruh.