MAPUNGUFU,HUJUMA NA WIZI SIHA NA KINONDONI KUNA SHAURI LILIFUNGULIWA MAHAKAMANI?!

Sina taarifa kama Kuna kesi inaendelea.Naona dalili na hila zile kurejea kwa kasi chaguzi hizi za usoni.Mahakama ingefanya kazi yake,tungepunguza upuuzi huu kupoteza mabilioni ya walipa kodi.

Hoja ya msingi!

Walipeleka lakini hakuna hakimu wa serikali aliyechukua kesi kwani walishapigwa mkwara kiwa hakimu atakayejitolea kusimakia kesi ya wapinzani hasa wanaposhtaki kazi hana, wanazumgushwa tu

amekataa kuajiri,kupandisha mishahara watumishi huku akichezea fedha za kodi kununua wapinzani na kuwatunuku mavyeo,haya lichama la kijani kazi mnayoooooooooooo

Du!!! Upo ushahidi wa hili!? Hapo ndipo taasisi dini,vyama,Wadau mbalimbali na Watanzania kwa ujumla wanapaswa liamsha dude la kudai katiba Huru!

Mzee mshenzi saaana yule. Full upuuzi.

nchi ya kidikteta asilimia 100

kama upo karibu na wanasheria mahakamani au mawakili waulize watakwambia, unadhani huwa hawashtaki dada yangu, wanashtaki lakini walishapigwa pini hakimu au wakili wa serikali atakayesimamia kesi zao kazi hana, na wao wanalinda matumbo yao, huwa wanapigwa kalenda tu mpaka wanaamua kukata tamaa, sasa wao wakiwashtaki wapinzani utawaona hao kimbelembele

Mahakama zenyewe zinafanya kazi kwa maagizo…

Cc: @Mahondaw

MAHAKAMA IKO MFUKONI MWA JIWE

MAHAKAMA IKO MFUKONI MWA JIWE