Mara paaaaaang'aa Jf ya KenyaTalk ni mtego.

Yani kama naota vile,watu wamejiingiza mtegoni bila kujijua.
yani unakimbilia KenyaTalka,halafu KT yenyewe imetengenezewa Tanzania,server ipo Tanzania.
halafu tena walioitengeneza ndio wale wale walokuwa wanakutega KULE Jf.
Hapo ndipo utakapojua kwamba ulienda kumuwinda mbuni ataeatamia kwa manati maana utahitaji mahesabu mengi sana.
“ISIWE HIVYO”

Kwa sisi tuliowahi huku tunajua nini kimetokea, JF ilikuwepo Kenya Talk pia ilikuwepo huku hatujaitwa
sisi wanaJF wa bongo ndio tumeomba kutengenezewa Forum ya JF ndani ya kenya talk hususani baada
ya kuonekana hatuelewani kabisa kiswahili na wakenya yaani Hata ukitongoza mwanamke wa KENYA ilikuwa
ni ngumu kumpata kwa sababu ya Lugha.

Watufunge tu wote, kama kufungia mitandao haitoshi

Watajua wenyewe

Hahah!! Ndio hapo watajikuta walitega mwizi ila kanasa Askari

mara paaaap mwandika uzi ni lumumba

ndio hapo sasa halafu tayari kawajua wote.

Ndugu zetu watz mmepanick baada ya kustukia kwamba huku ukimbizini ni mwendo wa kujiachia hadi kieleweke. Humu hadi mods anapawa za usoni. Hahaha :smiley: Nikiona mods wa jf humu namchanjachanja bila huruma.

Acha wana wanywe bia

Wakitaka kutufunga, kifungo chako na changu! Naomba viumgamishwe afu mi ndio ntatumikia!

Hahahaha nimecheka sana we ifikie hivyo si utanikimbia

Mtoto wa Kino… Wa kunyumba! Siwezi. Ila tu usikose kunletea Colgate na Mswaki KEKO!

Hahaha nitakuletea hivyo usijali

Na Mafuta ya kupaka!

Na uwe unakuja mwenyewe tu! Si umeona hata Rugemalira alitembelewa!

Yaan usiwe na wasiwasi kabisa

Nitakuja jamani

Kumbe ni mtoto wa kino huyo?asee

Tatizo mnapiga sound mineno mingi.

Jifunza kuandika sentensi moja ukaeleweka mkuu.