Marabou stork

Nimeangukia ka tender flani kutafuta atleast 1000 marabou stork birds per week niletee Nairobi
Twende kazi

[ATTACH=full]248399[/ATTACH][ATTACH=full]248400[/ATTACH][ATTACH=full]248401[/ATTACH]

pale bus station tumekula hizi sana tukiambiwa ni kuku

Wapi apo nijue kama mimi ni victim?

Enda pale city stadium ama mukuru pale bendora.

My inbox is still open for serious marabou stork deals…

hapo kando ya MANG pub…All those vibandas that sell “kuku choma”…ni stork…it is said that they are harvested very early morning pale nyayoh karibu makaburini

Za Nairobi hazitaste mzuri…wacha nikultee kamoja kutoka up country nakwaambia utakuwa unanitafuta kila wakati

You is stupid.:D:D

haziezi toa za dandora dumpsite…kitu imekula everything from panti,chupa,pad,takataka zote…the best taste…

Hii ukishikwa na KWS , utaikula ikiwa mbichi kama yule jamaa wa zebra.

Nyayo stadium

However much you want us to believe that they are marabou stork, hapa nakataa. Kwani wao huuza a stork a day? even if they sold half a stork a day, that would mean in a year it’s 178 storks and that amount of storks cannot fit in Nyayo trees.

What I know is that they sell hizo kuku za grade zenye zimedungwa sidano na zikapewa boosters design ya Vera Sidika, within a month or less the chicks hua zime grow ten times their size.

ushaiona urefu ya izo miguu?

Hii ni county gani ?

Chief, si juzi bibi alikuwa anakuchapa?

Hizi zimejaa Kasarani stadium

I think I’m a victim. Kuna siku nilikula kuku kubwa ajabu :smiley:

someone’s on it

http://nairobiwire.com/wp-content/uploads/2016/01/stork.jpghttps://netstorage-tuko.akamaized.net/images/0fgjhs4jtfmvu96aj.jpg?&imwidth=1200

Ndebele ni Kiki tuuuu