MARADHI YA KUTOPATA CHOO

#1
[emoji256]MARADHI YA KUTOPATA CHOO[emoji256]
Haya ni maradhi ambayo yamekithiri sana kwa binaadamu na kuweza kusababisha matatizo mbalimbali katika miili yetu.
Wako baadhi ya watu wenye tatizo hili, wao hawapati choo vizuri, katika hao wapo ambao hawapati choo Ila baada ya siku tatu nne hata wiki na wengine hupata choo mfano wa kilicho choo cha mbuzi.
Haya ni maradhi , tena ni maradhi hatari sana kwa wanaume na hata pia wanawake.
[emoji261]Maradhi haya yakimtokea mwanaume humletea :::-----
[emoji117]Gesi tumboni
[emoji117]Vidonda tumbo
[emoji117]kumpotezea nguvu za kiume haraka
[emoji117]Bawasiri
[emoji261]Vilevile maradhi haya yakimtokea mwanamke humsababishia :;;:;;-------
[emoji117]Chango
[emoji117]Vidonda vya tumbo
[emoji117]Gesi tumboni
[emoji117]kupoteza hamu ya tendo la ndoa
[emoji117]maumivu makali sana wakati wa tendo la ndoa
[emoji117]Bawasiri
[emoji259]Dawa kwa asiyepata choo ni SANAMAKI.
[emoji95]TAHADHARI.... usitumie sanamaki na juisi ya limau, machungwa, na maziwa.
[emoji95]wajawazito na wanaonyonyesha usitumie dawa hii.

DAWA YA MTU ASIYEPATA CHOO.
[emoji298]--->Chemsha dawa inayoitwa SANAMAKI kofi moja (kiganja kimoja) mpaka iive sawa sawa na unywe kikombe kimoja kutwa mara moja (1×1),
[emoji298]--->Hakika utapata choo pia dawa hii ni mujarabu kwa wagonjwa wa tumbo.

[emoji258]DAWA NYINGINE NI ZAYTUNI[emoji258]
Kunywa mafuta ya zaytuni ujazo wa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili siku tatu.
[emoji268][emoji268]KWA WATOTO[emoji268][emoji268]
Chukua MAFUTA YA LOZI kijiko kimoja cha chai ikiwa mtoto ni chini ya mwaka mmoja na ikiwa mtoto ni zaidi ya mwaka mmoja mpe kijiko kimoja cha chakula na fanya hivyo kutwa mara mbili siku 3.

Kwa ushauri tiba na mahitaji ya dawa zetu wasiliana nasi
Wenu Sulayman
+255 655 821 550
 
Top