mariamu

nikiwanga 2nd year long holiday, boy flani alikam akatutolea form ya bash. alikuwa akiitwa moha. hakuwanga walalo but ni vile alikuwa amefanana walalo sana ikabaki ameitwa moha. walalo wote maboy huitwa moha sijuangi kwa nini. alikam akatupata tukiwa raia ya mtu tatu; mimi, boy flani anaitwa maich na mwingine anaitwa felo but tulikuwa tunamuita lofe. afta kutuchapia tukauliza moha form iko wapi na kama anatambua huyo msee akadai hajui place iko. kifala kumbe kiliona zile bash zina advertisiwa WhatsApp. hizo bash zinakuanga na ufala sana saa hio imechochwa sijui kutakuwa na beer pong, kissing booth, strip poker, sex tape, truth and dare, shisha smoking na hizo mashit. entrance walikuwa wakidai ni 500. kuona hiyo advert nikashow moha hii haitakuwa vile imeandikwa hapa. utafika huko upate ni opposite hizi ni chocha tu. moha akateta vile hio ni bash biggy haezi hata. tukasema ni sawa. ilikuanga tuesday na bash ilikuanga sato so kila mtu alicheza kivyake by sato tulikuwa na hio dooh. tukavutia msee flani namba yake ilikuwa imeandikwa hapo alikuwa akiitwa Giddy. kumvutia akadai tuende nakumatt lifestyle huko ndo mahali watu wanachukuliwa.

hao sisi tukafika ivo tao. kufika tu ivi mvua ikaanza kunyesha tukachorea kiasi. mvua iliisha kitu 8 alafu tukapiga mleggy kuenda ivo lifestyle. tulipitia hio njia ya city hall ikakam kututoa huku simmers. simmers tukaona kunguru wawili wameweza ile mbaya ikabaki tumesafisha macho. hao kunguru walikuwa wameweza lakini tukazidi ivo lifestyle. kufika ivo lifestyle tukavutia huyo Giddy fala akadai gari ilibeba wasee 7.30 saa itabaki tumepanda mat fala yeye. tukarudi hapo ambassada place ya gari za upperhill hupandiwa tukapanda ndae za kwenda kenyatta (ile kenyatta ya high rise). kufika huko tukavutia Giddy. fala akadai anakam. tukaanza kungoja tulingoja kitu 40 minutes tukamvutia tena fala ikadai sijui walikuwa wameenda kuchukua sijui nani na nani anakam. nikaona hapa kuna kuchezwa ile serious. nikamvutia nikamshow atupe tu direction tukam ivo instead ya sisi tumngoje. akatushow tupande hivo street flani inaitwa ‘MBARUK ROAD’ keja ya tano ukipanda hio mlima. tukaenda hivo tukacheki iyo road sign inaonyesha mahali ‘MBARUK ROAD’ iko. tukaanza kupanda hiyo mlima. kulikuwa na wasee watatu nyuma yetu walikuwa wanastagger zao zilikuwa zimeshika ile mbaya.

kidogo kidogo tu ivi tukacheki mariamu inateremka. @pamba wawili walishuka tukaskia “vijana kaeni chini”. wale wasee watatu walikuwa wanastagger walipiga u turn wakatoka teke weeh. niliskia kucheka lakini nikaacha @pamba mmoja anaeza nipiga kibare jooh. hao wasee mariamu iliwafanya wakakuwa sober manze.

karau mmoja akaanza
“vijana mbona mnatembea hii usiku yote?” ilikuwa 10 sa hio. tukamshow tunaenda home. wakaanza kutunusa kuskia kama tumelewa ama tunanuka fwaka ama ndom wakapata kwanza tunanuka marashi. tukaskia wamedai
“vijana toeni ID”. mimi na lofe tukatoa zetu. maich na moha ati hawana ID mafala hao. karau mmoja akadai “nyinyi wawili endeni nyumbani saa hii tusiwapate tena. wacha tuende na hawa wawili”.
tukaanza kutembea lakini ile mos mos hakuna vile tungeeza kuacha moha na maich nyuma. wakienda tunaskia karau mmoja akiwashow “haya pandeni hapo juu mkanyage hizo maiti”. kuskia maiti tena tukaona huku ni kunoma. karau mmoja akabaki hapa nyuma na wao huyo mwingine akaenda kuendesha gari. kuenda kitu kama 100 metres tukacheki mariamu imesimama maich akaniita. akadai nidunge huyo karau 400. nikamdunga 400 mafala wakaachiliwa karau akadai tusiwapate tena. kumbe hizi mbuzi mbili zilikuwa na thao thao ikabaki maich ameniita juu enyewe hakuna vile utadunga karau thao ungojee akupee change ikabaki wameniita. uzuri nilikuwa na pesa loose nikawaokolea. maich akatuchapia wakiwa huko kwa mariamu waliulizwa wana doo ngapi moha akadai akona 100 pekee. karau alimshow hiyo hata malaya haezi kubali kudinywa nayo. maich akashow karau akona rwabe pekee lakini mimi ndo ninayo karau akamshow aniite ndo nimuwai. maich alidai yeye ID yake alisahau mtaani moha naye yake ilipotea so alikuwa akingojea replacement. after hapo tukaona sasa tuende huko kwa bash ndo hao makarau wasitupate tena. tukafika hiyo keja fala akakataa kutufungulia manze. akadai hatutambui. tukadai kumshow tumekam bash na tutalipa mjinga kidogo atufungulie madoggy tulimshow tumebonga na Giddy kuskia jina ya Giddy akachorea. akatufungulia gate tukaingia ndani. tukiwa hapo kwa compound ya hio keja tukaanza kuchoma makoro zenye maich alikuwa amebeba. ni bahati hao makarau hawakutusearch otherwise maich angelala ndani. kucheki cheki manze tunaona tumekam cock fest. hiyo bash ilikuwa imechrome manigga tu. madame ni kama wanne pekee manigga ni kama 15. after tumechoma tukatosheka fala mwingine akatugeuzia tena saa hio anaongea ngoso ya kujiekelea
“Hey guys dudes ni wengi leo mkona madame?”

hizi ni gani tena huyu fala ameanza ati madame kwani mlikuwa mmesema aje. fala anaendelea akidai "cheki kujeni na drinks na madame alafu mtaingia ama mkam na drinks na mtoe 500. aaai tukaona hio ni ufala. tukateta huyo msee akadai “guys just chuck”. huyo msee alitukatsia manze. alikuwa anadai tuzidi. akiendelea na hiyo story yake ya kuchuck lofe alimuona kidevu moja strong ninja ilidunda chini ikaanza kubleed. kuona ivo nilifungua iyo gate tukaanza kutoka teke huyo msee naye juu ni kifala hata hakikupiga nduru ilibaki ametufungulia madoggy. hizo doggy nazo zingekupata walahi wewe ungekuwa mzoga hapo hapo. lakini wapi ile teke tulikuwa tumetoka nayo hazingetushika. tulitoka teke hadi stage tukaingia mat ilikuwa inatoka. tuliingia kama masniper na dere akasonga nayo mara that.

Hizo bash za WhatsApp niliamua sitai zienda tena.

NOMA SANA!!

Ktalk is the only forum with 100% of graduates, and 100% 44 leavers.

Typical. Bash kama hizo hukuwa waste especially for campo dudes. Juu kila mtu ako na dame, but huwezi enda na dame yako ama hata sidechick kwa bash kama hizo. Ukienda unapata ni mamuriu tu. Bash kama hizo unless ni dame ameni-invite siwezi enda, especially majamaa strangers.

sjasoma yote lakini ni urimooo

Mimi na kungojea gari ya karau apana ama karau wakiwa patrol mahali najua tutatoka za macho…not unless tuko na bishop na ako na ile gown yake :D:D:D:D:D:D

Eti unapata ni mamuriu tu, :D:D:D!