MASAIBU YA HUSTLER 2

CONTINUED…

baada ya mashifta kutuacha nikiwa na abdi walibeba maji na unga ya wale wasee wengine ambao walihepa wakatuacha kwa camp,sisi tuliwasha moto hadi saa sita usiku then tukadoz thou mimi nilikua na wasiwasi juu sijawahi jipata kwa situation ambayo kuna guns.kesho yake asubuhi ile jeshi ilihepa ndio walianza kukam mmoja wakapata unga na maji zao zimebebwa wakaanza kudai nikama tulikua deal na hao mashifta wakaamua kutuchapa but hata sijui vile abdi aliingia kwa hio keja yake akatoka na ile rifle yake wasee wakaniacha wakaingia porini tena.
anway after some hours mwenye mgondi alikam tukakaa kikao tukasettle difference na huyo mwenye mgondi akaletea wasee unga!
nlichimba karibu mwezi mzima ndio nikapata mawe kilo moja nikauza 32k nikaamua lazima nikamuane.sasa kulikua na kacentre flani kanaitwa kwa Mulei iko kama kilometre 15 kutoka hapo tulikua,hapo ndio pussy ilikua ikipatikana,kulikua na mapoko flani watanzania but ajabu wanaongea kikamba .pussy ilikua inauzwa 3k per shot,tena mtu unafuck haogi but juu hata sisi tulikua hatuogi inabidi uchangamkie mzigo.so mimi na peter tukaamua kuenda kwa mulei kutafuta kuma, saa moja jioni ivi kasafari kakaanza mdogo mdogo mimi na peter halafu peter alikua amelewa pombe flani inaitwa 'mubangara’so alikua anabonga na sauti sana halafu njia nizile ndogo inabidi mfuatane nyuma nyuma.tukachapa leather hadi tukafika mahali ghafla tu peter akasimama na akanizuia kutembea,nilishikwa na hofu na wasiwasi sana nikaamuliza ni nini inaendelea, aliniuliza “umewahi kufa?” Nikamjibu "hapana " akanishow “leo tunakufa” _nikaamuliza “nni mbaya brathe?” akanishow “SIMBAA” ndio nilicheki mbele yake nikaona simba imelala katikati ya barabara.nlitaka kukimbia but peter akanishika mkono.nikajaribu kuhepa but akakwama na mimi mimi.msee akanishow nikikimbia ndio itatufuata heri tukae chini…wanakijiji amini msiamini tulikaa katikati ya barabara mbele ya simba dume karibu 2hours hadi simba ikaingia pori tukastay tena kama 30 mins…ndio tukaendelea na safari hadi tukafika Kwa Mulei but ile kushtuka nilikua nmeshtuka msendes haingeweza kusimama ikabidi nilale,kesho yake tukatafuta nduthi tukarudi camp…anway nilikaa kwa mgondi miezi 3 but nlitoka after kuzuka vita ya wasomali na masaai baada ya wamasai kuanza kuiba ngombe za wasomali ambapo my friend abdi alipatikana akiwa amekatwa mapanga hakuna aliyewitness vile aliuwawa but tunashuku ni wamasai.

wooooii

:D:D:Dhaukukamua puthy chafu:D:D:D:D

ati 3k per shot?? Pussy will be the death of many men, soooooooooo overrated

juu hakuna

:eek: this should be a documentary

compile hii hekaya buda…

wajua natype na neon kicka hadi nachoka

waaah kijana

bwana sponsor sambazia mimi krc

:D:D:D

umepitia mengi boss

bado…Masaibu ya turnboy coming up

nikipewa na admin nakurushia brathe. saa hii KCR yangu ina read zero

na even with those incidences za snake bites bado mlikua tu mnakanyaga kaguu gizani bila torch.

Lakini umejionea, must have been a very risky place in the three months you were there you witnessed two people from your hekaya part I dying and had two close shaves with death.

ukitembea na torch gizani ni kurisk,kws wanaeza kuspot wakuchape bure then wakugeuzie wewe ni poacher, au warthog ikiona torch inakamigi speed kupita nawe

eeeh hiyo sikujua. some things even National Geograhic haiwezi kufunza.

haha hata ukitaka kuua warthog unangoja giza then tafuta torch iko bright sana,then utafute mti mkubwa funga torch hapo na ukae kando na panga…warthog utoka mbali speed ikidhani inakam gonga mtu inagonga mti inaumia hapo unairukia fasta na panga unaikata

hii ni poacher

:D:D si uliona kwa hekaya yake walikua wanapatikana na bones za wild animals kwa camp

nataka anifunze kupoach asali kwa mziga ya nyuki

Hiyo ya simba, wa! Iliona mtaimada ikaondokea tu.