masaibu ya junior bachelor

washing clothes on sunday morning is not ideal yours truly is in office in a short and a tshirt reason being all official wear were rained on

6 Likes

Hukusomea boarding?

7 Likes

hajajua masaibu huyu!

2 Likes

Nilijaribu moja lakini imekauka na harufu mbaya sana

1 Like

Boss… Ungechukua ile nguo unataka kuvaa ukamue na towel then upige pasi na uanike. Morning nguo imekauka. Try it na utume mpesa.

11 Likes

Najua mwezi iko corner or has the month just learned how to throw a curve ball?, but couldn’t you just have run to a store last night and bought some official wear, doesn’t have to be fancy, just something that can last you a day then dispose off or donate out somewhere or keep for another rainy day :D:D:D

pole kwa masaibu though :smiley:

Nilitaka kufanya hivyo Mfuko ikanikataza

2 Likes

:D:D, this was my routine in high after preps. Shida tu ni hatukuwa na Iron box.

3 Likes

at least now you know never to wash all your clothes at once, always ensure you have something for an emergency or a rainy day (literally).

1 Like

Hii ni mpya

It has never failed me especially since I dont wear official clothes. Kuna time niliitwa meeting na PA wa CS fulani na sikua na shati official iko ready juu imekaa kwa wardrobe for a whole year. Ilibidi nioshe 10 usiku but morning it was dry.

3 Likes

Kweli hukuwa boarding. Huko ungejua kupiga pasi bila kutumia pasi

3 Likes

back in highschool,ukishuku shirt haitakauka,you wrap it with a towel and squeeze it. then inaitandika either between two blankets ama between two mattresses na ulala. morning itakua dry and warm

1 Like

Kimbia craigslist…chukua huyo…kuja na interim report kwa wanakijiji[ATTACH=full]70197[/ATTACH]

3 Likes

:eek::eek:

umeshangaa

Mtu na hiyo knowledge yote anataka kuwa mboch? Si angetafuta kazi hata ya sales.

Labda anatafuta mzee chini ya maji…and quick money at the same time

2 Likes

atatoa towel wapi? ni ya nini na haogi?

5 Likes

Umenipiga 10-0

1 Like