MASAIBU YA KIPII 2

umewahi jipata kwa situation flani uko innocent but inakaa uko guilty, check this situation.


After kukorofishana na my aunt na uncle badaa ya wao kuuza shamba yangu nilibaki all alone bila guardian but sikuwahi jali niliamua kusurvive kimwanaume all alone nilikua nmepanda mahindi two acres halafu io remaining land nalease atleast sijawahi lala njaa.kama kawaida kila msee ukua na mabeshte kadhaa,mimi nilikua ubeshte na tuboy tuwili mmoja anselemy na mutiso walikua mabrother,hao ndio walikua marafiki damu,nilikua naenda kulisha ngombe nao,tunaenda nao river kuchota maji,ukichokoza mmoja tulikua tunakukamia wote tunakueka kichapo ya mbwa.
sasa mimi nilikua na kadem kanaitwa Florence na nilikua nmeibia classmate wangu anaitwa Kitundumo,
sasa siku moja tulienda kuchota maji jioni kwa river mimi nawale mabeshte zangu…si unajua kawaida ya vipii lazima muogelee mkifika rivwr…sisi hao ndani ya maji ,na ni dangerous kuna crocodiles and hippos but sisi ni 3 musketeers hatutambui kitu.tukaogelea karibu one hour.then tukatoka tukaenda tukachotelea mitungi.kabla tuende home tukaona kirende cha maboy watatu,kumbe hata ni maclassmates but walikua wezi sugu but sisi tunaishi nao Kama mabeshte.wasee walikam na miwa,maembe na tomato wakikula…si eti wamebuy ni kuiba na tunajua but tukacheza chini…actually wakatugawia sisi tukakula tukisema juu hatujaiba tumepewa hamna ngori…kumbe wameiba kwa shamba ya babake yule boy nlipita na dem wake anaitwa kitundumo…na aliwaona but alipoenda kuambia babake akadai ata sisi tumekua kwa shamba tukiiba.punishment ilikua kuekwa pilipili kwa mkundu.jeshi ya huko mashambani ikatukamata.tukapelekwa kwa chairman wa io irrigation scheme huko anaitwa Claude, hukumu ikatolewa vijana tuekwe pilipili kwa mkundu ili iwe funzo kwa wengine na imagine sisi hatukuiba ni kupewa tulipewa,tukajaribu kujitetea but hawakutusikia.tukavuliwa trousers sisi wote kajamaa ka kwanza kaliekwa ile nduru kalipiga hata sijui io nguvu nilitoa wapi…nilijivuta nikaangusha yule msee alikua amenishika…nilitoka mbio kama zile probox za miraa nikiwa uchi, hapo kadick kangu kalikua kanapiga 1-2-1-2-1-2,nikiwa speed…anway badae niligeuziwa ni mimi niliiba miwa na tomato nikatolewa fine mbuzi moja but i swear to God i had nothing to do with it…

noma sana ha ha ha ha

life ilikua tricky but i miss life ya nikiwa mdogo ata kama ilikua na mashida

very gay punishment

Wezi sugu wa miwa na tomatoes :D:D:D:D:D:D:D:D:D

I used to hear Kamba boys talking about this punishment when I was growing up and I thought it was a lie kumbe…

Hiyo punishment is a no! The guy assigned the job anafaa kukataa. Who in his right mind accepts to finger small boys?

Two years ago nilikuwa nawork with some community based NGO huko Mutomo,… some mboys apparently were caught stealing our project water melon, i heard the locals talk about administering ur above punishment to the boys!.. i was wtf are u talking about, all along i have always believed ni uwongo they were just scaring the kids,…

Some talkers are here wondering how such a pleasurable thing is a punishment

[ATTACH=full]144946[/ATTACH] umenimaliza :smiley:

[ATTACH=full]144947[/ATTACH] HKM TING GO SRAAAAA PA PA

Eti pilipili kwa!!!? :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D SKIA!! na hutu mputu pu!

Ni mcoondo ulipenda, saitan

I don’t know how I will break this to you but you molested by your gay chairman

Pedo chairman. He should be hanged by his gonads.

Kwetu unapelekwa kwa anthill inabomolewa na unakalishwa hapo.